Posted on: March 7th, 2018
Shirika lisilo la kiserikali la Tumaini Jipya lenye makazi yake kata ya Olkokola halmashauri ya Arusha limeonesha kuridhishwa na utekelezaji wa shughuli za kuwahudumia wananchi zinazofanya na halmasha...
Posted on: March 6th, 2018
Uchimbaji wa visima viwili vya maji unaendelea kwa kasi katika shamba la mbegu Ilkiushini kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji unaotekelezwa na shirika la WaterAid jambo linaloashiri upatikani wa...
Posted on: March 5th, 2018
Wananchi wanaotumia barabara ya Mianzi - Timbolo iliyotengenezwa kwa kiwango cha lami wamekiri kuanza kuona maendleo nyumbani kwa kuona manufaa ya barabara ya lami ingawa imetengenezwa kwa umbali mfup...