Posted on: May 10th, 2023
Na Elinipa Lupembe
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John Mongela, amezindua mradi wa mashamba darasa matano ya ufugaji wa kuku kwa vikundi vya wanawake wajasiriamali kwa vijiji vitano vya halmasahuri ya...
Posted on: May 9th, 2023
Na. Elinipa Lupembe.
Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, amekabidhi jumla ya tani 4.4 za mahindi na Kilo 290 za maharage kwa kaya 323 ziliathirika zaidi kutokana...
Posted on: May 8th, 2023
Na Elinipa Lupembe.
Hivi karibuni Serikali ilitoa fedha kwaajili ya ujenzi wa vituo vya walimu ambavyo vinalenga kuwasaidia walimu kuendelea kupata mafunzo kupitia mifumo mbalimbali kama vile vi...