Posted on: October 17th, 2022
Leseni zote za Biashara hutolewa chini ya Sheria ya Biashara Na. 25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake yaliyofanyika mwaka 2014.
Mwombaji wa Leseni ya biashara anapaswa ajaze fomu ya maombi...
Posted on: October 14th, 2022
Hatimaye kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Sahili Nyanzabara Geraruma amekabidhi Mwenge wa Uhuru Salama Kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Samia Suluhu Hassan, katika sherehe...
Posted on: October 14th, 2022
Dira ya Halmashauri ya Arusha ni kuwahudumia wananchi na kutatua changamoto zinazowakabili kwa kutumia rasilimali zilizopo kwa maendeleo endelevu ifikapo mwaka 2025.
Uongozi wa halmashauri...