Posted on: December 6th, 2017
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wananchi wa kijiji cha Olkokola wanaonyesha kukataa kata kata kupokea mradio wa maji wa vijiji vitano unaotegemewa kutekelezwa ndani ya kijiji chao kwa madai kuw...
Posted on: December 4th, 2017
Ujenzi na Upanuzi wa miundo mbinu ya Kituo cha Afya Nduruma unaendelea vizuri miezi miwili baada ya halmashauri kupokea fedha kiasi cha Shilingi milioni 500 kutoka Serikali kuu.
Fedha hizo zimetole...
Posted on: December 2nd, 2017
Wauguzi halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru wametakiwa kuacha kufanyakazi kwa mazoea na badala yake kufanya kazi wa weledi na zaidi kwa kuzingatia maadili ya fani ya Uuguzi na yale ya Utumishi wa U...