Posted on: November 21st, 2017
Timu ya Ulinzi na Usalama wa mtoto Halmashauri ya Arusha imepiga marufuku kwa watoto wenye umri chini ya miaka 18 kwenda kwenye kumbi za starehe nyakati za usiku. Marufuku hiyo imetolewa wakati ...
Posted on: November 19th, 2017
Wananchi wa kata ya Nduruma halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru wamefurahia neema ya uendelezwaji na upanuzi wa miundombinu ya kituo cha Afya cha Nduruma ambacho kimepatiwa fedha za kukamilisha had...
Posted on: November 19th, 2017
Watalamu wakaguzi wa nyama halmashauri ya Arusha wamelazimika kuzuia ulaji wa nyama ya ng'ombe aliyechinjwa na kupimwa na kugundulika kuwa na dalili za ugonjwa uliosababisha ini kushindwa kufanya kazi...