Posted on: June 16th, 2018
Na. Elinipa Lupembe.
Shirika lisilo la kiseriksli la Ace Africa limetoa msaada wa komputa tano na lota mbili kwenye kituo cha afya cha Olkokola kata ya Lemanyata, halmashauri ya Arusha.
Vifaa hi...
Posted on: June 12th, 2018
Kufuatia Kauli mbiu ya siku ya mtoto wa Afrika mwaka 2018, inayosema 'KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA:TUSIWAACHE WATOTO NYUMA', watoto wameiomba serikali kutatua changamoto nyingi zinazowakabili amba...
Posted on: June 17th, 2018
Na. Elinipa Lupembe.
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na wazee, imezitaka shule zote Tanzania, kuanzisha Dawati maalumu la malalamiko ambalo watoto watapata fursa...