Posted on: November 14th, 2018
Ule msemo usemao 'Mgeni njoo mwenyeji apone' umedhirika dhahiri ndani ya halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru, baada ya Shirika lisilo la kiserikali la Help for Maasai Childreni (HMC), kwa kushiriki...
Posted on: November 13th, 2018
Watoto wa kata ya Kimnyaki, halmashauri ya Arusha, wilayani Arumeru, wamefanya mdahalo na kujadili juu ya kuondolewa kwa adhabu kali kwa watoto nyumbani na shuleni, mdahalo uliofanyika kwenye ofisi ya...
Posted on: November 10th, 2018
Shirika lisilo la kiserikali la SOS lenye makazi yake eneo la Ngaramtoni, linalojulikana kama Kijiji cha Kulea Watoto SOS, limekabidhi msaada wa vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 54 kwa ajili y...