Posted on: April 16th, 2022
Mwenyekiti, halmashauri ya Arusha, Mheshimiwa Ojung'u Salekwa, anawatakia wananchi wote Kheri ya Sikukuu ya Pasaka 2022.
"Tusherehekee kwa Amani na Utulivu"
ARUSHA DC
KaziIendeleee✍✍
...
Posted on: April 16th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anawatakia wananchi wote Kheri ya Sikukuu ya Pasaka 2022.
"Tusherehekee kwa Amani na Utulivu"
ARUSHA DC
KaziIendeleee✍✍
...
Posted on: April 13th, 2022
Halmashauri ya Arusha, imeanza rasmi kutekeleza kwa vitendo mradi wa ujenzi wa kituo kipya cha afya Matevesi, kufuatia maagizo yaliyotolewa na serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikal...