Posted on: April 21st, 2017
Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango wamefanya ziara ya siku mbili ya kukagua miradi ya Maendeleo inayotekelezwa ndani ya halmashauri kwa mwaka huu wa fedha 2016/2017.
Katika ziara ...
Posted on: April 11th, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Pastori Mnyeti amewapa siku tatu wakazi wa kitongoji cha Ilkiurei kata ya Kiranyi waliojenga nyumba kwenye mkondo wa maji kubomoa wenyewe nyumba hizo kabla serikali haij...
Posted on: April 9th, 2017
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta uliosababishwa na maji yaliyotokana na mvua iliyonyesha usiku wa kuamakia leo katika eneo la Mangurueni kitongoji cha Ilkiurei kata ya Kiranyi ha...