Posted on: September 1st, 2023
Na Elinipa Lupembe
Wanafunzi wa shule ya sekondari Mringa, halmashauri ya Arusha wameishukuru serikali kwa kuwajengea abweni mapya pamoja na kukarabati mabweni ya zamani yaliyokuwa yamechakaa shule...
Posted on: August 30th, 2023
Na Elinipa Lupembe
Historia nyingine inandikwa tena shule ya sekondari Mringa, baada ya ujenzi wa vyumba vya madarasa serikali imetoa kutoa fedha kiasi cha shilingi milioni 360 kwa ajili ya...
Posted on: August 29th, 2023
Halmashauri ya Arusha imepokea fedha kiasi cha shilingi milioni 100 kutoka serikali kuu kupitia mradi wa kuboeresha miundombinu ya shule za sekondari - SEQUIP kwa ajili ya kukarabati wa mabweni manne ...