Posted on: August 18th, 2022
Na Elinipa Lupembe.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amesema zoezi la sensa halina itikadi ya kisiasa wala dini, hivyo kila mtu ana wajibu wa kushiriki na kuhamasisha wengine kushiriki zoe...
Posted on: August 17th, 2022
JE NI TAARIFA ZA AINA GANI ZITAKAZOKUSANYWA WAKATI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022
1. Taarifa zitakazoulizwa zitahusu;
2. Taarifa za kidemografia (umri, jinsi, hali ya ndoa).
...
Posted on: August 17th, 2022
Na Elinipa Lupembe.
Mwenyekiti wa kamati ya Sensa wilaya na Mkuu wa wilaya ya Arumeru, na Mhandisi Richard Ruyango, amewataka watendaji wa halmashauri ya Arusha, kushiriki kwa pamoja kuhak...