Posted on: April 5th, 2017
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha Dkt. Wilson Mahera akipanda miti katika chanzo cha maji cha Saina kitongoji cha Nameloki kijiji cha Oligilai kata ya Kiutu wakati wa uzinduzi wa siku ya kupan...
Posted on: April 3rd, 2017
Halmasahuri ya Arusha Inafanya zoezi la siku moja la kutoa chanjo ya vidonge kwa ajili ya kinga tiba kwa ajili ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ya Minyoo tumbo na Kichocho kwa watoto w...
Posted on: March 23rd, 2017
Halmashauri ya Arusha kupitia Idara ya Ujenzi inafanya ukarabati wa kawaida kwenye barabara ya Mianzini – Timbolo yenye urefu wa kilomita nane kuhakikisha barabara hiyo inapitika kwa vipindi vyote....